Yanga ndiyo inaongoza kuchukua kombe la ubingwa wa Tanzania bara mara 24 na wapinzani wao Simba wapo nafasi ya pili kwa kunyakua kombe hilo mara 18 YANGA na Simba ndizo timu kubwa zinazoongoza kwa ...