"Hiki ndicho chumba ambacho familia yangu yote iliuliwa," anasema Safa Younes. Mashimo ya risasi yanachanachana mlango wa mbele wa nyumba katika mji wa Haditha, Iraq, alikokulia. Ndani, kwenye chumba ...
Kwa takriban miezi mitatu, Adnan El-Bursh aliripoti juu ya vita huko Gaza alipokuwa akiishi katika hema, akila mlo mmoja kwa siku, na kujitahidi kuweka mke wake na watoto watano salama. Mwandishi wa ...
Vita vya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, ambavyo sasa vinaingia mwezi wa 22, vimeibua mgawanyiko mkubwa wa kijamii na kisiasa ndani ya taifa hilo. Familia za mateka pamoja na wanaharakati wa amani ...
Hali Sudan inaendelea kuwa mbaya. Katika kambi ya Al-Dabbah iliyopo umbali wa kilomita wa 770 kasikazini mashariki mwa mji wa Elfasher, wahudumu wa afya wanapata wakati mgumu kuwahudumia waathirika wa ...
Mapigano yamekithiri tangu wiki iliyopita karibu na mji wa Bara, karibu na al-Obeid, mji mkuu wa jimbo hilo. Hali hii ya usalama imewalazimu mamia ya familia kuukimbia mji wa Bara, ambako mapigano ...