MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya washukiwa watano wanaodaiwa kuhusika na kifo ...
MWALIMU mmoja amepoteza gari lake la thamani ya Sh1.7 milioni baada ya Mahakama Kuu kuamua kuwa lilinunuliwa kwa pesa ...
Watu wanne walifariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya lori kugonga magari na pikipiki kadhaa mjini Meru Alhamisi jioni.
MADAKTARI na wauguzi wanane waliomhudumia mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini Kenya wameeleza wasiwasi wao kuhusu hatua ya kupelekwa karantini katika jengo lile lile la hospitali ya Nairobi Hospital ...