RAIS William Ruto amependekeza Kenya ipanue vyanzo vya maziwa kwa kujumuisha ngamia, mbuzi na kondoo baada ya upungufu wa ...
POLISI wamemkamata Kassim Abdi Sebo, anayeshukiwa kuongoza genge lililolaumiwa kutekeleza wizi kabla ya mkutano wa Linda ...
WIZARA ya Elimu imepiga marufuku wanasiasa na watu wengine wenye nia ya kutoa misaada kutembelea shule na kuwagawia wanafunzi zawadi, ikionya kuwa huenda shughuli hizo zikatumiwa kujinufaisha ...
SENETA wa Nairobi, Edwin Sifuna, amesema kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga kimebadilisha maisha yake kisiasa na kibinafsi, akilazimika kuwa mwangalifu zaidi kuhusu usalama wake, ...
RAIS William Ruto ameeleza kutoridhishwa na utabiri wa hali ya hewa nchini, akizua mjadala kuhusu uwezo wa wataalamu kutabiri kwa usahihi wakati ambao mvua kubwa ya El Niño ...
Watu wanne walifariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya lori kugonga magari na pikipiki kadhaa mjini Meru Alhamisi jioni.
MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya washukiwa watano wanaodaiwa kuhusika na kifo ...
MWALIMU mmoja amepoteza gari lake la thamani ya Sh1.7 milioni baada ya Mahakama Kuu kuamua kuwa lilinunuliwa kwa pesa ...